mchana mwema mpenzi.

 Licha ya upole ulionao! Pia upendo wako ndio kishawishi cha kunifanya nikukumbuke siku zote. Jiulize! nina namba za watu wangapi ktk cmu yangu,na bado sijatamani kujua hali zao ila wewe! kwa kuwa, nakuthamini nakukujali, ndiyo maana nakutakia, SIKU NJEMA

       *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*

♥Watu wanao pendana daima hukumbukana!!! Na salamu 

kusalimiana!!! Afya njema kutakiana!!! Huruma 

huoneana!!! Kwenye shida husaidiana!!! Makosa 

husameheana!!! Katika dhiki huvumiliana!!! Kila 

jambo zur hupeana!!! Maneno mazur yaliyo jaa upendo 

huambiana!!! Ushaur mwema hushauriana na njia 

za mafanikio huonyeshana!!! Mbele ya madui hulindana!!!nai 

ni mmoja katia ya wakupendao,hakika ni 

mm wa kwanza kwanza wengine wanafata♥


      *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*

     

USikimbie nyuki ukakosa asali, utamu wa samaki ni kula na 

wali, 

usizidishe siki akawa mkali. 

Ni 

mimi niliye na dhiki nakujulia tu hali. 

        *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*

Kama upendo ni tone la mvua nakutumia 

   !!!!!

   !!!!!

   !!!!!

Kama furaha ni ua nakutumia maua

     


 *%*%*

         )!(

        (   )







kama tabasamu ni sekunde nakutumia masaa

  . '12' .

9   _/   3

   ' 

.6. '

kama maombi ni maji nakutumia bahari

-_-_-_-_-_-

-_-_-_-_-_-

-_-_-_-_-_-

kama mafanikio ni majani 

nakutumia miti

 ,:*"*;,    ,:*"*;, 

*;% ,,*  *; %,,*

__)(__   __)(__ 

kwasababu nataka uwe na furaha 

cku zote

        *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*



 .:""""\_____.-.-._

( 0    .-----------'



Post a Comment

Previous Post Next Post