I MISS YOU BABY.

  Je unakubali au unakataa kwa mujibu wa sheria ya mahakama ya mapenzi kifungu cha mahaba unahukumiwa kuwa na mimi milele,unaweza kukata rufaa kama hujatendewa haki.sawa?•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·

•Sura yako haifutiki usoni mwangu kirahic,ingawa upo mbal nami lkn penzi lako bado nalikumbuka,hakuna anayeweza kukata kiu yangu zaidi yako,nakupenda mpenzi wangu!

•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• 

Kamwe cwez kuacha kukupenda,utaendelea kujificha moyo mwangu cku zote za maisha yang,maana wewe ndiye mhimili wa maisha yangu,tafadhal naomba unipende milele!

•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•



Post a Comment

Previous Post Next Post