MKE ALIYE MTAMU WA MANENO YAKE NA KAULI NZURI NI TIBA KWA MME WAKE


Habari yako msomaji wangu, natumaini upo salama,leo nataka niseme na wanawake wenzangu,,nataka nikuambie tu kuwa safari ya ndoa ni ndefu si sawa na safari za kwenda mikoani,,hivyo usijidanganye kwa kujifariji kwa furaha ya muda mfupi,,kuna mambo yanatokea mwanamke unakuwa sababu ya kupoteza kwa furaha katika mahusiano yako kwa kukosa lugha nzuri,unadhani unajenga au unamkomesha mmeo kumbe unabomoa na kufungua upenyo wa upendo kupungua na kutafuta mahali pa kibinti tu kinachojua kubembeleza na kujali,,mwisho utafute mchawi nani kumbe mdomo wako,,hebu kuwa mtamu wa maneno yako,,kuwa na kauli nzuri zenye nidhamu na ubembelezi,,acha kupayuka payuka jitambue uwe wa wakitofauti.

Post a Comment

Previous Post Next Post