NIMEKUKUMBUKA SANA MPENZI WANGU

 


•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

Ni bora mnara ukitikisika kuliko kupata pengo lisilozibika moyoni umeniachia jeraha lisilotibika na ufa usiozibika.rudi unautesa mtima wa moyo wangu.

•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

Swt ulivyoumbika wengi wanateseka juu yako ,najua wanakusumbua ni vema usiwakubalie, ukweli umebarikiwa uzuri umeshushiwa na dhati ya penzi umetunukiwa nakupenda

•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·

Post a Comment

Previous Post Next Post