*Mambo yanapokwenda mrama kumbuka kuwa kuna Mungu peponi anayekupenda na kukuangalia, lakini yupo duniani anayekujali ambaye ni mimi peke yangu.
*Simu huboa wakati mwingine, kwani ni lazima ufungue meseji na kuzisoma, kuichaji simu kila mara, lakini usichoke kwani ndiyo inayotuwezesha tuwasiliane.
Post a Comment