SMS ZAKUMTAKIA SIKU MCHANA MWEMA SWEET WAKO

Mapenzi ni matamu na pia yanaraha wewe hauniishi hamu sikuzote raha wanipatia wewe kwangu ni mtu muhimu unayeng'aa moyoni mwangu kama nyota ya jaa NAKUOMBA USINIACHE MPENZI                                                   


Wewe ni wapekee ninaye kupenda sifikirii kukusaliti na wala sina wazo La kukutenda nakuomba tuendelee kupendana siku zote habbity wangu

Post a Comment

Previous Post Next Post