Nakupenda tu


Wangu Malkia nashukuru kwa mahaba uliyonipatia, nikikumbuka miguno na viuno ulivyonipatia na raha niliyojisikia, nahisi kuna mwingine unampatia, please dear penzi langu usije wengine kuwapatia! Nakupenda.

Ulisema wanipenda na katu kwa mwingine hutokwenda na leo umenitenda! Umeamua kwenda ingawa wajua bado nakupenda, leo ni siku kenda toka umekwenda, amini bado nakupenda na kwa mwingine siwezi kwenda!

Post a Comment

Previous Post Next Post