Meseji nzuri za mapenzi.


 Naweza kuishiwa ujumbe wa kukutumia. Naweza kuishiwa utani pia. Naweza kuishiwa chaji lakini moyo wangu hauwezi kukosa nafasi ya kukuweka.

****

 Penzi, maisha yangu yote nimesoma juu ya neno hili, nimeota juu yake, nimelilia, nimelihitaji. Sasa pamoja nawe nimelipata.







Post a Comment

Previous Post Next Post