SMS ZA MANENO MATAMU YA MAPENZI.

Macho yangu hutamani kukuona mdomo wangu hutamani kukubusu mikono yangu hutamani kukutomasa uko mbali nami ila mwili wangu upo kwaajili yako DEAR MWAAAAA!!!

Hakika mpenzi nimechoka kuvumilia kilasiku naishia utamu kuusikilizia njozini unaponijia najiuliza ni lini utanivulia niachane na hizi ndoto zinazonijia kila wakati mpenzi

Joto ndio kitu pekee ninacho kitalajia kutoka kwako mke wangu mtalajiwa usisikilize maneno ya kuambiwa ni wewe tu mwenye thamani kwangu katika hii dunia



Post a Comment

Previous Post Next Post