KAMA HUJAZISOMA SMS HIZI BASI ZICHEKI MDA HUU

 Wanasema mtu huanguka katika mapenzi mara moja, jambo ambalo mimi naliona si la kweli kwa maana kila ninapokutazama najikuta nakupenda tena na tena.
 Mpenzi wangu kukutana nawe ilikuwa ni bahati, kukuchagua kuwa rafiki yangu ilikuwa ni maamuzi yangu, lakini kuanguka kwenye penzi lako haikuwa hiyari yangu. Umeniteka
moyo na akili yangu pia.

 Mapenzi yako ni matamu zaidi ya asali penzi lako ni dhahiri latoka moyoni halihitaji kuongeza kitu  nitakupenda maisha yangu yote tamu ya moyo wangu.
 Najiuliza ni kwanini hatukujuana mapema asali wangu nakupenda kipenzi naahidi sintokusaliti wala sina wazo la kukutenda nakuomba tuendelee kupendana mpaka mwisho wa maisha yetu.
 Wakati mwingine napata sana shida kuzungumza na wewe kipenzi huwa nahisi aibu shida ni uzuri wako na tabasamu motomoto nikifumba macho nikifumbua nahisi kuishiwa pumzi penzi lako tamu sana nakupenda asali wangu.
NITAKUPENDA MILELE DAIMA WENYE CHUKI WAJINYONGE PENZI LANGU KWAKO SI FEKI NI LA KWELI KUTOKA MOYONI TUISHI PAMOJA MILELE TAMU YANGU YA MOYO.

Post a Comment

Previous Post Next Post