MESEJI NZURI ZA MAPENZI KWA UMPENDAYE KWA DHATI







mtoto unajua kutabasamu maana kila nikiitazama picha yako napatwa na hamu ya ...., natamani kama ningekuwa ufukweni tukila upepepo mtamu huku tukipeana maneno matamu, kisha mzuka ukipanda tukatoane hamu au unasemaje?

1. Wangu kipenzi ninayekuenzi, jua wanitia uchizi na kuninyima usingizi, sijui kama una kizizi au ni mapenzi ndiyo yaninyima huo usingizi, la azizi nimekumiss kichizi, u hali gani mpenzi?

2. Japo umeniuzi sina budi kukupa hizi pongezi, sijui umejifunza wapi mapenzi, hakika kwako mi ni mfungwa wa mapenzi! Nakupenza mpenzi nitunziye langu penzi!

3. Hakika sikutaraji kulikosa lako penzi, wataka kuniacha kuniacha ningali nakuhitaji, mpenzi tambua nahitaji yako hifadhi na niko radhi kukupeleka hadi kwa wangu wazazi, amini kwenda kwa mwingine sihitaji. Nakupenda.

4. Mpenzi najua u-mbali nami, majaribu ni mengi wapaswa kujihami, nituniye zangu zabibu wangu tabibu, jitahidi kuwa mvumilivu nitakuja kukutibu, miss u ma luv.

5. Hakika nimepata tabibu, maradhi yangu wajua kujyatibu, napenda jinsi unavyonitibu, huna papara yaani ni taratibu, mpenzi usijemuonyesha mwingine hizo zako zabibu, maswahibu yakatayonisibu hakuna atakayeweza kuyatibu, nakupenda.

6. Nimeamini wewew ni mtalam wajua kunitoa hamu, unipapasapo huhisi kupoteza fahamu, maneno yako matamu hunizidisha hamu, hakika wajua kunikamua, luv u.

7. Kuwa nawe najivunia, mtoto mapenzi wayajua, kiuno, sauti yako tamu mithili ya chiriki wajua hasa kuitumia, mua wangu wajua kuukamua, ukiniacha jua nitaumia, nakupenda usije niacha nitajiua!

8. Mambo yako adimu ndiyo yanayonipa wazimu, nikuonapo hupatwa hamu, hutamani unipatiye wako utamu, la azizini lini utakuja kunitoa hamu, hakika nimemiss wako utamu na kwa kuupata sifahamu maana ni wewe tu ndiyo mtaalamu. Miss u

9. Dear siku zimekaribia, miaka …… utatimiza katika hii dunia, hakika najivunia kupata mpenzi aliyetulia, hongera kwa wako wazazi kwa kunizalia kipenzi, zawadi yangu toka kwangu ni ahadi ya kulienzi lako penzi. Happy Birthday mpenzi.

10. Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi akupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi, pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi, nakupenda la azizi.

11. Siamini kilichotokea, hakika nimekukosea, lakini naapa katu sitorudia, upuuzi niliokufanyia, najua jinsi gani waumia ndiyo maana umeninunia, nisamehe mpenzi nafsi yangu ipate kutulia kwani bila wewe sin thamani katika hii dunia!

12. Namini utakuwa umerejea kwenye yako makazi na umechoka na kazi mpenzi, badili yako mavazi, bafuni ingia upate maji kujimwagia, nakupenda la azizi, pole sana na kazi!

13. Huna haja ya kulia kwa yaliyotokea kwani si wakwanza katika hii dunia, mpenzio kumfumania, wengi huwatokea katika hii dunia, tulia na vumilia Mungu atakupatia mpenzi aliyetulia, pole rafiki yangu klpenzi ndiyo mambo ya dunia!

14. Giza limeingia simuoni wakunikumbatia niko kama kinda la njiwa na zaidi ya mshitakiwa mwenye hatiya, sjiui wapi joto kwa kwakulipatia na wajua kipupwe kimewadia, uko wapi my dear?

15. Mpenzi sijui umenipa kizizi maana huishi kunijia kwenye njozi, hakika kwako sijiwezi, nadaka kila nikikuona kwenye lako pozi na usiku ukifika ndipo hutawala zangu njozi, tafadhali mpenzi usiniweke pozi, u hali gani la azizi?

16. Nashukuru kwa yako dozi hakika katika mapenzi wewe ni mkufunzi, wajua bakora kuitumia, mpenzi usije ukawa na mwingine unayempatia, hakika nikijua nitaumia kama sikujiuam. Nnakupenda!

17. Wangu Malkia nashukuru kwa mahaba uliyonipatia, nikikumbuka miguno na viuno ulivyonipatia na raha niliyojisikia, nahisi kuna mwingine unampatia, please dear penzi langu usije wengine kuwapatia! Nakupenda.

18. Ulisema wanipenda na katu kwa mwingine hutokwenda na leo umenitenda! Umeamua kwenda ingawa wajua bado nakupenda, leo ni siku kenda toka umekwenda, amini bado nakupenda na kwa mwingine siwezi kwenda!

Post a Comment

Previous Post Next Post