TAGS
Hakika mtoto umeumbika mithiri ya malaika japo mbinguni sijafika lakini nauhakika kwa kila mwanaume alie umbika na kukamilika akikuona lazima udenda utamtoka naomba japo yako dakika nipate kukueleza yamoyoni jinsi yalivyo nifika kwani siwezi tena kuficha jinsi ninavyo kupenda nakupenda amini kwako nimefika
+++++++++++++++++++++++
Nimezunguuka pande zote za Tanzania macho nimeangaza kusaka mrembo wa kumkabidhi yangu nafsi na kulila tunda lake kwa nafasi huku nikimpa mahaba yangu ya dhati na sikuwahi kuhisi kama wewe ndiye ungeniteka yangu nafsi nakupenda sweet
+++++++++++++++++++++++
Weupe wa penzi lako ni kama mwezi angani ucheshi na mahaba yako nifananishe na nini kupata mfano wako hatotokea amini elewa Mimi ni wako sikuachi asilani
++++++++++++++++++++++++
Najiuliza kila Leo hivi ni Mimi tu kimeo katika dunia hii yaleo maana kila Leo ninaye mpata haishi kunipa ahadi kila Leo mpenzi kila siku waniahidi mala nitakupa Leo mala kabla ya mchweo hivi ni lini utanipa jibu la uhakika na kunipa mapenzi ya uhakika nipate kufarijika
+++++++++++++++++++++++++
Usikimbie nyuki ukakosa asali utamu wa samaki ni kula na wali usizidishe siki akawa mkali ni Mimi niliye na dhiki nakujulia tu hali je unaendeleaje sakafu wa moyo wangu
Post a Comment