KABLA HUJALALA MTUMIE MSG HIZI

 TAGS
Najiuliza kila Leo hivi ni Mimi tu kimeo katika dunia hii yaleo maana kila Leo ninaye mpata haishi kunipa ahadi kila Leo mpenzi kila siku waniahidi mala nitakupa Leo mala kabla ya mchweo hivi ni lini utanipa jibu la uhakika na kunipa mapenzi ya uhakika nipate kufarijika

akupenda zaidi ya almasi inayochimbwa ardhini sipendi nikupoteze nikajutia moyoni naitaji nikuenzi kama mboni yangu jichoni

Moyo unasikitika autoacha daima machozi yatiririka si usiku wala mchana huzuni imenishika kwa vile sijakuona I LOVE YOU BABY
######################
Mapenzi ni matamu na pia yanaraha wewe hauniishi hamu sikuzote raha wanipatia wewe kwangu ni mtu muhimu unayeng'aa moyoni mwangu kama nyota ya jaa NAKUOMBA USINIACHE MPENZI
######################

wewe ni wapekee ninaye kupenda sifikirii kukusaliti na wala sina wazo La kukutenda nakuomba tuendelee kupendana siku zote habbity wangu ######################
Mapenzi yako asali kwa mwingine sitamani umeniteka akili mpaka najihisi punguwani nakupenda sana mpenzi

Post a Comment

Previous Post Next Post