Asubuhi njema anza na sms hizi nzuri

Asubuhi njema na kaka Madeghe - Photos | Facebook

Hakika mpenzi nimechoka kuvumilia kila siku naishia utamu kuuckilizia njozini unaponijia, najiuliza lini utanivulia niachane na ndoto tele ndotoni zinazonijia?


m?y?ni naumia kila napofikiria yale uliyonitendea,

sijui ni nini nilikukosea kama mapenzi ya dhati naamini nilikupatia na moyoni nilikuwa najivunia na kujiona zaidi ya mfalme katika hii dunia kumbe kiini macho ulikuwa wanifanyia leo najutia muda ulionipotezea kumbuka nilikupenda

Post a Comment

Previous Post Next Post