Umuhimu wa kitu hauonekani,Mpaka kusudi LA kitu lianze kufanya kazi.Ukitaka umuhimu wako hapa Duniani uonekane anza kuishi kusudi lako la kufikia ndoto zako.Nakupenda ndug yangu.
Pole kwa kazi,pia hongera kwa kazi. HII NDIO TIMU YA
"MUNGU"
REFA wa timu hii ni ROHO MTAKATIFU"... Wachezaj ni:,
1- IMANI
2- BUSARA
3- UPENDO
4- UKWELI
5- UVUMILIVU
6- UAMINIFU
7- HURUMA
8- MSAMAHA
9- HESHIMA
10- UKARIMU
11- HAKI
Jee, katika KIKOSI him I, wewe unacheza namba ngapi?
Au uko BENCHI Nikutakie uck mwema na maandalizi mema za ibada za kesho
Post a Comment