Mapenzi ni utoto,deka ulie nitakubembeleza,mapenzi ni zawadi tabasamu nibusu niambie kiasi gani unanpenda,naweza kusema asilimia kubwa jina lako limezunguka kuta wa moyo wangu.kamwe jina lako haliwezi kufutika.nakupenda sana.
Mapenzi ni safari=unifanye nauli ya moyo, mapenzi ni maradhi=unifanye daktari ni kutibu maradhi yako,mapenzi ni kiu=niwe maji jangwani,mapenzi ni chakula=nikulishe maishani mwako na uwe asali moyoni.
Post a Comment