I miss you my love.


=> Nakunjua moyo wangu huishi milele maishani, nafungua nafsi nikupende wewe pekee. Nafunga milango ya moyo wangu ili kutopokea ugeni wowote wa moyo zaidi yako mpenzi. Nakupenda sana beib.

=> Mmmh! Cjui ni kwa nini nahamu ya kufaidi penzi lako kiasi hiki? Natamani laiti ungekuwa karibu yangu unipime gonjwa hili na unitibu pia. Kwani wewe ndiye daktari wa pekee ni naye mwamini. Nimemiki kila kitu kutoka kwako. Nahisi nazidi kuchanganyikiwa kwa ukosefu wa penzi lako.








Post a Comment

Previous Post Next Post