mmchana mwema nakupenda pia.

 Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee salamu “UHALI GANI MPENZI?”

Hakika wewe ndiye wangu mahabuba unayejua kunipa huba, napenda unavyoniganda mithili ya ruba, nahahidi kukupa mahaba yanayozidi shaba. Nakupenda  mchana mwema mpenzi. ................. ·


 

Post a Comment

Previous Post Next Post