Naomba unisamehe mpenzi wangu.

💞Hata kama nitajidanganya kwamba sikupendi, moyo wangu umeganda kwako ,Röhö håinå furaha sababü ya ükimyä wåkö,näfsi håinå raha kükösä såuti yako,möyöni näsonönekä kükösä penzi läkö,håkikå naumia sana
Najua nimekukosea baby, lakini fahamu kwamba
haikuwa nia yangu kukupotezea furaha yako, nipe
nafasi nyingine moyoni mwako!
Nipe nafasi nyingine maishani mwako!
Nisamehe mpenzi wangu!

.💕Ni kweli nakiri ndani ya nafsi yangu kwamba nilikukosea mpenzi wangu, naomba unisamehe na unipe nafasi nyingine katika moyo wako mpenzi wangu. Nakupenda sana,



Post a Comment

Previous Post Next Post