NAKUMISSV\ SANA MPENZI

 Macho yang hutaman kukuona,mdomo wang hutaman kukubusu,mikono hutaman kukutomasa,uko mbali nami ila mwili wangu upo kwa ajili yako dear

•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Upendo ni jibu kwamba kila mmoja anataka. . . .
upendo ni lugha ,
kwamba kila mmoja anaongea,
upendo hauwez kununuliwa,
na icyo kadirika na ya bure,upendo kama uchawi safi,ni
siri ya maisha matamu
     nakupenda mpz
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•




Post a Comment

Previous Post Next Post