Nipende nifurahi.

Ewe ulo2lizana chaguo la moyo wng kila nnapokuona huniondoka machungu tabia zako mwanana zmeuteka moyo wangu yoyote atakaekuona mwambie ww ni wangu ……

Kamwe siwezi kuacha kukupenda,utaendelea kujificha moyo mwangu siku zote za maisha yang,maana wewe ndiye mhimili wa maisha yangu,tafadhal naomba unipende milele.........



Post a Comment

Previous Post Next Post