#HONEY_WANGU


_____________________
Dear mpenzi!💞
💕Kwenye maisha yangu najivunia sana kua na wewe💕, Naisi faraja na amani kila nikuonapo wewe💕. Ukaribu wako unanipa nguvu na matumaini ya kuwa daima na wewe. 💕Ukweli nakupenda kamwe sitakuja kuachana na wewe.💕 Sitarajii nikutese au nikuumize kipenzi chanhu wewe. 💕
💓Sura yako inang'aa kila unapo tabasamu💓. Sauti yako niisikiapo yavuluga mifumo yangu yafahamu💓. Nikupapasapo mpenzi mwili hujawa na hamu.💓 Mtoto mithili ya sega la nyuki jinsi ulivyo jaa utamu💓. Nikiwa na wewe baby mawazo yote yanakwenda💓 kuzimu...wawoooo...💓Basi ngoja nikuchum ili niongeze masham sham...💓i love you so much mpenzi mwaaaaaaa......mdomoni ,💓 mwaaaa...shavuni,💓 mwaaaaa....kifuani(matiti) ,❤mwaaaa...kitovuni,💓mwaaaaa..mmapajani, mwaaaa...katikati...mwaaaaa mwili mzima. Nakupenda sana sweety!💘
FROM: YOUNG SMART NJOINE
May be an image of 1 person, standing and headscarf

Post a Comment

Previous Post Next Post