Home 🌷Katika =MAISHA yako... TEE December 26, 2022 0 Katika =MAISHA yako kamwe usikumbuke =MATATIZO yaliyopita kwa sababu =YANAUMIZA Pia usiwaze yajayo maana yanatia =HOFU=MAISHA ni hapo ulipo ila =MALENGO ni kielelezo cha maisha Daima =TAZAMA mbele kwa =KUJIAMINI Tazama Nyuma kwa =TAHADHARIpia Tazama ulipo kwa =MATUMAINIUsimthamin Mtu kwa =UTAJILI wake bali Mthamin kwa =UTU wakeUsimwamin Mtu kwa =MANENO yake subiri Umshuhudie kwa= MATENDO yake Usimdharau Mtu kwa =UMASKINI wake bali Mueshim kwa =TABIA yakeUsimchukie Mtu kwa= MAKOSA yake bali msamehe kwa =MADHAIFU yake, Tuzid kuelimishana na kukumbukana na kuombean tusikate tamaa katka maixhaa
Post a Comment