
Salamu za upendo zitue kwenye moyo wako

. Hope uko salama salimin.

Geogina, Safari hii nimekuja kama ujumbe,

ukinisoma utaisi ni nafsi kama si maneno.

Geogina, kwenye dunia hakuna amani bila ya upendo,

hakuna maisha bila ya upendo.

hakuna furaha bila ya upendo pia hakuna raha bila ya kuwa na upendo

, kinyume chake utakua m2 mwe huzuni maishani mwako yote.


Geogin, Kwenye macho yangu
nimeona dhahabu,

nimeona almasi pia nimeona shaba lakini moyo wangu umeridhika na chuma.

Geogin,

siku zote "ukificha ya rohoni utakuja kufa kibudu"

. Geogin

, wewe ni mwanamke ambae ulie ziteka hisia zangu,

Nikuonapo moyo unanidunda kwa mshtuko kwa presha

, nawaza na kuwazua juu yako

, naumia juu ya uzuri wako.

Sijawahi ona yeyote anae ukaribia uzuri wako

. Geogin, kiufupi mimi ni mgema wa asali hivyo nime vutiwa na mzinga wako.

Geogin nitafurah

, kama utanikubalia kinyume chake nitazidi kuumia ....nategemea jibu langu sasa hivi....I love you mwaaaaaaa..... Mrembo.

From: Young smart njoine.
Post a Comment