Home _NATAMANI.........💓 TEE December 26, 2022 0 ningekuona ukiwa na furaha Kwa wakati sahihi unajua uzuri wako umeunganikana na tabasamu moja matata NATAMANI Uwe wangu daima kwasabab mm tu nimetosheka kuwa nawe sihitaj mwingine zaiidi NATAMANI Ungekuwa sehem ya kiungo changu hakika ningefaidi sana uwepo wako NATAMANI Ujue penzi lako taamu sijawah ona NATAMANI Uwe sehem ya maisha yangu kunipenda kunijal na kunthamn kama ilivyokawaida Kwa wapenzi NATAMANI Usije niacha kwasabab bado nakuhitaj na ninakupenda NATAMANI Ujue bila wewe sina amani huwa nahuzunika pale unapokuwa mbali namimi NATAMANI Ujue na mm Nina moyo na Nina umia Kwa haya matendo unayonifanyia NATAMANI Ujue kitu kinachofanya nizidi kukupenda ni jinsi tu ulivyo kwangu ni raha tosha NATAMANI Mwakampya tukeshe pamoja ili kuukaribisha mwaka mpya ambao ni 2023 NATAMANI Uzidi kuniombea panapo majaliwa bhas mwaka tutauona tukiwa wazma ndan ya PENZI IMARA NATAMANI Uthamin uwepo wangu kwako Nakupenda sana Ujue
Post a Comment