........ Laiti kama Ingekuwa kuna taji LA uvumilivu bhas ningeshakuwa nalo na Mara zote ningeibuka kwako maana sio Kwa dhuruma uliyonipatia ......
.......... Sasa nimeamua nkuache peke yako nikiw bado nakupendah ila haina jinsi tena utanisameh kwa maana Mimi sio wako kuanzia sasa ........
........Na kwahakika itakuw ni historia isiyo sahaulika kila wakati ambao utakosa ulichopata kwangu ndo utakumbuka kwann uliamua kunizarau na kunitesa .......
.......Naumia sanah kwan najua hatutokuwa pamoja tena maisha yangu yote pia sitahitaj kukumbuka ya nyuma .......
....... Ila jitahidi na uwe makn na mtu mwngne utakae mpata maana sijajua tabia yake itakuwadje na atakuwa na lengo gan kwako ........
......Ila nakuomb umpende umthamini umjal na mvumilie maana hakuna binadam aliyekamilika .......
Post a Comment