Home THAMINI__UWEPO WANGU 💞 TEE December 26, 2022 0 Raha yangu Nikupendwa kama nilivozoea kupendwa nawe Raha Yangu nikufurah kama nilivozoea kufurahi nikiwa nawe Najua hubadilika kwenye mapenzi lakn kwangu naomba isiwe hivyo maana nimefall in love kwako Ni mwisho wa mwaka sitaman tutengane zaiiidi tupendane Japo hauonyeshi kunipenda lakn ujue mm ni binadam na ninaumia kwa hiv vitu unavyonifanyia Kuna mda sipati nguvu kwsabab yako kuna mda sili chakula kwasababu yako Kuna mda najiona niko mpweke mpaka nahisi kama vile dunia nzima imenitenga Natamani unikumbuke Kama ninavyo kukumbuka Mimi Natamani unijali Kama ninavyo kujali Mimi Natamani unipende Kama ninavyo kupenda mimi Kwasababu nakupenda Sana na siwezi kukusahau. Wakati wote nitakupenda Penzi lako nitakulindia Kuwa nawe ninajivunia Nakupenda My dear 0710518562 cm No
Post a Comment