THE_NUMBER_ONE_FOR_ME😍


😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
#NI_WEWE_ULO_MOYONI
Unaenipumbaza kwa huba na yako mahabaπŸ’…
Hadithi mzuri ya mapenzi yako ipo moyoni mwangu 🏡 Nakupenda hata ukiwepo mbali πŸ”

πŸ’‹Wewe ndie ndoto yangu ya siku zote nikuotayoπŸ’œ My dear you are the only one for me πŸ’›
πŸ’™Wewe ni safari yangu ya upendo na dira sahihi inayoongoza maisha yanguπŸ’•

πŸ’”Nakupenda jinsi ulivyo umbika πŸ’– umbo namba nane8 hujakasorekaπŸ’Ÿ

πŸ’žNakupenda kwa jinsi ulivyo niteka πŸ’mapenzi ya salale umenibandikaπŸ’”

πŸ’™Nakupenda kwa jinsi unavyo furahikaπŸ’“ navutiwa na wako mwanya pindi ukichekaπŸ’˜

πŸ’ŸNakupenda wangu malikia πŸ’› uongoze moyo wangu usije poteaπŸ’•

πŸ’šNitakupa mahaba nitakuthaminiπŸ’” Nikupe masham sham  kuanzia varandani hadi chumbani tuishie na bafuniπŸ’Ÿ

#Nakupenda_sana_ni_wewe_ulo_moyoni

#THE_NUMBER_ONE_FOR_ME

Post a Comment

Previous Post Next Post