UWE NA ASUBUHI NJEMA MUME WANGU

*☕☕
*Habar za asubuh mpenzi ☕☕kwanza nimshukul mwenyez☕☕Kwa kukulinda mume wangu kipenzi ☕☕*

*Kaa tambua wewe ndio mwanaume wa familia yangu ☕☕wewe ndio baba Bora ajae wa wanangu☕☕tambua wewe ndio mume wa ndoto zangu☕☕ please nivumilie Kwa mapunguf yang*

*☕☕ Natambua Kuna mengi nakukwaza☕☕Natambua Kuna mengi juu yangu unawaza☕☕Hila tambua kukosea Mimi sio wa kwanza☕☕ wivu wangu kwako mda mwingine wanioonza☕☕Hila yote ni mapenz yangu yaliyopitiliza🌹🌹🌹ubak na Mimi mwenzio umeniweza*

*☕☕kwanza nikutakie asubuhi yenye baraka kwako☕☕mungu ajalie lizik nzuri kwako☕☕ usisahau Mimi daima nipo upande wako ☕☕ nakuitaj sana lifaham ilo☕☕*

*☕☕Kuna wakat nakumis ukiwa mbali☕☕ Yan nasisimka ganzi inatawala Kwa mwili☕☕ fanya uwai bas kurudi ☕☕Leo nimemis mnooo penzi Lako wangu hayuni☕☕my hubby nakupenda jamooon mwenzio☕☕*

*🥰🥰Ukilud nibebee zawad mzuriii mahana ndivyo umenizoesha mtoto wa mwenzio🥰🥰*

*Nikutakie asubuh njema ☕🥰🥰my hubby*


(🙏ewe mungu barik Kaz ya mikon yangu)

Post a Comment

Previous Post Next Post