💙❤❤#__IMISS__YOU........❤❤💙
💙❤ Japo upo mbali na Mimi lakn sijakata tamaa ya kuwa nawewe bado nafkilia kuwa naww najua utarudi tu kwaajili yangu ❤💙
💙❤ Nahisi kama itakuw ndoto kwangu haitakuw rahisi kuamini kama niwewe au laa!!! ❤💙
💙❤ Kuna mda nataman ningekuw tu karbu nawewe hata kidogo tu lakn haiwezekan mpnz wangu japo najua ipo Siku utarejea na moyo wangu utafunguka tena ❤💙
💙❤ Unajua nimemiss Vingi sana kutoka kwko mpnz wangu nataman San nkuone hats Leo maana utakuw umetuliza kiu yangu ❤💙
💙❤ Japo inaniuma sana kila nikiona wapenz wawili wakionyeshana mazngira na kufurahi pamoja hakika hii attention inanikumbusha mbali sana ❤💙
💙❤ Lini utarudi mpnz wangu nipte kufurahia na wewe tu.. Ntaman nijue ili niwe na amani moyoni nimejiandaa kwaajili yako tu ❤💙
💙❤ Hamna nilichobadilisha wala sijabadilisha maamuzi yangu kwako kwasabab najua bado unanipenda ❤💙
💙❤ Najua unapenda kuniskiliza na kuniheshm kwahili nakupongeza ndyo maana Mimi pia nakupenda ❤💙
💙❤ Astokee MTU akakudanganya na maneno yenye matambo akakuteka ukazitesa hisia zangu naomba uwe makn pia ujitambue moyo wangu me mdgo sana hautaweza kuvumilia kabsa ❤💙
💙❤ Cwez kumpenda mwngne zaiid yako kwasabab sihitaj moyo wangu uwe na hekaheka ❤💙
Post a Comment