ππ kama ulivyo mfuata nakumueleza kwamba unamuhitaj bhas nenda kwa nia ya kumpenda nasio kumchezea ππ
ππNajua wanawake wanajua kupenda hvyo usije kubal kumtenda mwishowe kwingine akaenda utailaumu sana nafsi yakoππ
ππHaijalishi upo katika hali gan lakin pamoja nayote usisahau kwamba ww ni nan kwake kumbuka karidhika kuwa na ww kwenye hii hali ππ
ππHata kama utapata kazi ya ubize sana ukishamaliza majukumu au ukipata free kidogo mtafte anza na neno SAMAHANI alafu akisharidhia anza kumjulia hali then kama kawaida mapenzi kupeti usisahau maneno matamu kwaajili yake ππ
ππUsije msahau katika ndoto yko usimsahau yeye pia mshirikishe kwenye mambo yako hii itamfanya azidi kukupenda ππ
ππMkiwa pamoja bhas muulz kwa wakati huu ambao tuko pamoja unataman nikufanyie nn? Huenda ataona Aibu bhas jarbu kuchukua cm then mchatishe japo mpo karbu ili akwambie nn anataman kwa wakati huo ππ
ππMjengee mazingiraya yeye kukuamini nina Iman atazidi kukupenda na kukuvumilia Mwanamke wakwel huwa na moyo mmoja tu Ambao hauhitaj gharama juu yake ππ
ππUmempata anayezijua shida kuliko raha huyo ishi nae mpende ππ
ππUmempata anayekupenda huyo mpende usimuache aende ππ
ππUkiijua maana ya Neno nakupenda nadhan utaelewa kwann unapenda kuna wakat utafika utaona hana umuhim kwake hilo usijal ww mpende 2 ππ
ππUsisahau kumvumilia hata yeye ni binadam pia maana hakuna aliyekamilika ππ
ππ ukifanikiwa usibadilishe mwanamke ila badilisha maisha yake kwasabab huyo ndie ulie anza naye ππ
πππDah niliiokota hii picha sehem nikaona si mbaya kama ntatolea funzo lake π€£π€£ sijui nimepatia au π
thanks sana Nango aberuka iman smart njoine pata utamu na wengineo ambao mnasupport sana waandishi πππππππ
Cm no for love sms +255622411656
Post a Comment