MY_HEART__MY_BITE

 #SMART__WÖRLD_ÖF_LÖVE_EP_SMS...(14)


<<<>>>🌻 <<<>>> 🌻<<<<>>>>
🌸Mapenzi yako ndio yanayo nifanya nikusifie,🌸 Unanipenda,🌸 unanithamini na kunijali yanini nikufanye uumie🌸. Ukweli sasaivi nimechagua sehemu nzuri acha moyo wangu tu utulie.🌸 Nakupenda..🌸nakuheshimu..🌸hisia za moyo wangu acha tu uzitambue.🌸

💋Nakupenda, pia naisi raha nikupendavyo.💋 Unanipenda sijaona kama wewe unipendavyo. Unaniliwaza ...💋mapenzi raha unipavyo. 💋Unanifariji..💋na kunifanya moyo ujali ulivyo uwepo wako sawa na pumzi kwangu hivyo ndivyo ilivyo.💋
💋 I love you, 💋i need you..i kiss you mwaaaaaaaa....my love💋



Post a Comment

Previous Post Next Post