Home 🥰 #UTAMU_WA_ROHO_YAKE 🥰 TEE December 26, 2022 0 Nilichoshwa na mapenzi kwasabab sikutafta mtu sahh kwangu Lakini Tangu nikupate wewe umefanikiwa kuiunganisha furaha yangu iliyogawayika Nimepata Utamu wa hamu sina mda wakupoteza anipendaye kajitokeza Unanipa maneno mazuri yanayoendana na mm, unanipa vitu vizur vinavyoendana namimi hakika siwez kulichoka penzi lako hata likichakaa Unanipenda adi najionea aibu mpenz wangu nitaacha yote ili niwe wako nikupendeze peke yako Unaifanya Afya yangu iwe salama kila muda Acha leo nikwambie kitu kizuri sana si kikubwa wala so kidogo ila NAKUPENDA Nakuahidi kama nilivyokubali kukupenda ndipo nitakufa na kupona kwaajili ya kulipambania penzi letu Hamna wakutufunza maana sisi tunaelewana jinsi tunavyopendana kikubwa iman yetu milele hatutotengana Wewe ni barafu wa moyo wangu unipakazae mwilini Wewe ni sugar na tamu ya mtima wangu Wewe ni mwanzo na mwisho wangu nitakupa kibali cha kuwa mbali na mm lakn sitakubali uwe mbali na moyo wangu Hakika umeumbika umefundwa umenipendeza mpenz wangu jinsi ulivyo ww ni wakudekezwa si wakufokewa Nikiumwa maradhi yangu wajua kuyatibu kwan ww kwangu ni tabibu Nisikiapo baridi ww ndo joto langu jitahidi jilinde kpnz wabaya wasifanikiwe kupoteza tumaini la penzi letu Waaaaoooh!!! Sitakuacha kabisaa kwenye moyo wangu upo wewe tu MOYO WANGU umeshakupenda na sio rahisi kukutenga mpenz wangu SMS : UTAMU WA ROHO YAKE
Post a Comment